Eid Mubarak kwa familia yangu ya Kitanzania. 🌙🇹🇿 Ni moja ya heshima kubwa maishani mwangu kuimba wimbo wenu wa taifa. Asanteni kwa kunipokea, kwa kunifanya nijiskie niko nyumbani, mahali ambapo nimejisikia kuonekana, kupendwa na kuwa salama. Ninawapenda sana, napenda chakula chenu, tamaduni zenu na kila kitu kinachofanya Tanzania kuwa tajiri ,tofauti na ya kipekee. Huu si wimbo tu , bali ni heshima ya upendo, umoja, na shukhrani ya dhati kwenu. Naomba mpokee zawadi hii kutoka moyoni mwangu. ❤️
Habari familia yangu ya waswahili, leo ni kumbukizi ya siku yangu ya kuzaliwa, ningependa kushiriki nanyi na kupokea neno lolote la baraka kutoka kwenu!🥳❤️
I have a date tonight!😍 My baby is waiting for me on the other side! My SPARK 40 came in and ready to impress, just like me. But the real tea? Who’s on the other end of the call?🤫 @TECNO Mobile #SPARK40Series
Mambo vipi watu wangu wa nguvu, Hizi ndio nyimbo zangu tatu bora kutoka kwa mpenzi wa roho yangu @PHINA , haya twende zetu tukazisikilize!😍 #Swahili #Phina #Enioluwa
Habari Familia yetu ya waswahili, Filamu yetu ya ‘ALLofUS’ iliyotafsiriwa kwa maandishi ya Kiswahili inatoka ijumaa hii ya tarehe 20 mwezi huu, ikiwa katika ubora wa hali ya juu , yani pambeeeee. Filamu hii ni nzuri sana na itapatikana kwenye youtube channel ya #TheGengNG au Gusa link kwenye bio yangu ambayo itakupeleka moja kwa moja youtube kuitazama. Ni matarajio yetu makubwa kuwa mtaipenda na kuifurahia. Nawapenda sana.🙏🏽❤️
In honour of the Legend #DaddyLumba May his soul rest in perfect peace! 🇬🇭❤️ When I tell you this is one of my favourite Ghanaian Meals.😍 Have you tried Agwanmo before? #GhanaianFood